Sean ‘Diddy’ Combs (54) ndiyo jina alilopewa na wazazi wake, lakini jina la kutafutia ugali anajulikana kama P Diddy ama ...
Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni imepangwa katika kundi la vigogo kwenye fainali za Afrika za soka la ufukweni ...
UWEPO wa makipa watatu wenye uzoefu kwenye kikosi cha Namungo ambao ni Beno Kakolanya, Erick Molongi na Jonathan Nahimana ...
BEKI wa JKT Tanzania ambaye alipata nafasi ya kucheza Yanga, David Bryson amemtaja Kibwana Shomari kuwa ni beki mzuri lakini ...
BEKI kisiki wa Azam FC, Fuentes Mendosa ameshindwa kujizuia na kukiri kuwa Ibrahim Hamad 'Bacca' anayekipiga Yanga alistahili ...
KUELEKEA mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya Ethiopia, mabingwa wa Tanzania ...
WIKIENDI hii Yanga na Simba zina mechi za kuamua hatma zao katika michuano ya kimataifa kila mmoja akipambania rekodi zake.
WAKATI Simba inaendelea kujipanga kuwang’oa Waarabu wa Libya Al Ahli Tripoli, mabosi wa klabu hiyo wana akili nyingine kubwa ...
BEKI wa kushoto wa Azam FC, Cheikh Sidibe amesema hakuna mchezaji asiyetamani kucheza na kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ...
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi jiioni ya jana alikuwa uwanjani kuiongoza timu hiyo dhidi ya KMC katika mechi ya Ligi ...
MSHIKE mshike wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo na michezo miwili itapigwa, huku macho na masikio yakielekezwa Uwanja wa ...
NYOTA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema moja ya usajili wa wachezaji wa kigeni waliomvutia msimu huu hadi sasa ni ...