MKE wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi, ameondoka Zanzibar na kuwasili New York, Marekani, kuhudhuria mkutano wa OAFLAD ...
RAIA watatu waliotekwa wakati wa maandamano ya vijana wa Gen-Z nchini Kenya wameachiliwa huru kutokana na shinikizo la ...
IDADI ya waliofariki kutokana na Kimbunga Yagi nchini Myanmar imefikia watu 293, huku wengine 89 wakiwa hawajulikani walipo.
ULAYA : MAWAZIRI wa nishati wa kundi la nchi saba zilizoinukia zaidi kiviwanda (G7) watakutana siku ya Jumatatu ili kujadili ...
ISRAEL imewashambulia wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon masaa machache baada ya kiongozi wao, Hassan Nasrallah, kuapa ...
TANGA : MKOA wa Tanga umetangaza kuongeza kiwango cha uzalishaji samaki na mazao ya baharini, ikiwemo uimarishaji wa ulinzi ...
ULAYA : BUNGE la Ulaya limepitisha azimio la kumtambua mgombea wa upinzani wa Venezuela Edmundo Gonzalez Urrutia kuwa rais ...
KLABU ya Fountain Gate imezima matumaini ya wenyeji Tabora United ya kunyakua pointi 3 muhimu baada ya kuwachapa nyuki hao wa ...
HALMASHAURI za wilaya nchini zimetakiwa kutumia fedha za mapato ya ndani kuboresha miundombinu ya maeneo yao ya kutolea ...
BANDARI ya Mtwara imepokea meli yenye urefu wa mita 240 ikiwa ni meli kubwa zaidi kuwahi kutia nanga katika historia ya ...
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk. Michael Battle, amezipongeza juhudi za Tanzania katika matumizi ya (Tehama) ya kukuza ...
TIMU ya Geita Gold ya mjini Geita imejipambanua kuwa ipo tayari kuanza mapambano ya kurudi Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na ...