Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameaga dunia. Kifo cha Magufuli kimetangazwa rasmi Jumatano usiku na makamu wake Samia Hassan Suluhu. Amesema kwamba rais Magufuli ...
Aliyekuwa ofisa wa Magereza, Josephat Mkama na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ...
Mtanzania Serikali kuimarisha sekta ya afya kwa mama na mtoto, Tanzania kuandaa mkutano wa 11 wa Merck Foundation - Afya na ...
Balozi zilizotoa tamko ni Ubelgiji, Uingereza, Canada, Denmark, Ufaransa, Finland, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, ...
Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama amewahakikishia wanaruvuma kuwa Serikali kupitia wizara hiyo, ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kudumisha na kuuenzi Muungano wa Taganyika na Zanzibar na kuwahakikishia wananchi wa pande mbili kuwa kero ...
Hoja 11 kuhusu kero za Muungano zimepatiwa ufumbuzi katika kikao cha pamoja kati ya mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar cha kutatua kero za ...
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Philip Mpango amewataka watanzania kuchangamkia huduma bora za Afya ikiwemo kupandikiza mimba ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema amepokea taarifa za mauaji ya Ali Mohamed Kibao "kwa masikitiko makubwa" na ...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepongeza maafisa madini wakazi wa mikoa kwa kuvunja rekodi ya kukusanya kiasi cha ...
TIMU ya soka ya Benja FC imetwaa ubingwa wa michuano ya Tulia Trust Uyole Cup 2024 iliyofikia tamati leo kwenye Uwanja wa ...
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia ya kieletroniki. Dk. Mwigulu ametoa pongezi hi ...