John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea hospitali ya Mzena, jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Job Ndugai, amesema kuwa amepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa ...
Hii hapa historia ya Muungano huo Historia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanzia April 26 mwaka 1964 siku ambayo Nchi ya Jamuhuri ya Tanganyika ambayo kwa sasa ni Tanzania bara pamoja na ...
Serikali inapendekeza kufanya marekebisho katika Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54 ikilenga kutatua changamoto katika ...
Uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika chini ya kanuni zinazoweka masharti ya uteuzi wa wagombea na sababu za kuenguliwa.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme ...
(Nairobi) – Serikali ya Tanzanian inapaswa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na kudorora kwa hali ya haki za binadamu nchini kabla ya uchaguzi ujao wa serikali za mitaa Tanzania Bara mnamo ...
Katika mkutano huo, Makamu wa Rais ameambatana na Viongozi pamoja na Wataalamu kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa ...
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeshiriki katika uzinduzi wa filamu ya Amazing Tanzania pamoja na maadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China iliyofanyika ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuepuka makundi ...
CHINA: MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amepongeza juhudi za Serikali katika kuboresha sekta ya afya, ...
Donald Trump achaguliwa kuwa rais wa 47 wa Marekani, Ziara ya rais wa Kenya William Ruto huko Addis Ababa Ethiopia, na Sudan ...